Tarehe kama ya Leo miaka 65 iliyopita Raisi wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu, Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa. Raisi Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa Oktoba 7, 1950.

Ndoa ya Kikwete

Jakaya Kikwete ni mwenyeji wa Msonga,Wilaya ya Bagamoyo.  Alimuoa Salma Kikwete mwaka 1989 hii ikiwa ni ndoa yake ya pili.

Elimu ya Kiwete

Jakaya Kikwete alisoma Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Watoto wa Kikwete

Watoto wake ni Ridhiwani Kikwete, Ally Kikwete, Khalfan Kikwete, Rashid Kikwete, Salama Kikwete, MwanaAsha Kikwete, Miraj Kikwete, Khalifa Kikwete, Mohamed.

Uongozi wa Kikwete

Ni Raisi wa Tanzania wa awamu ya nne tangu mwaka 2005.
Katibu wa 6 wa Umoja wa Afrika, kuanzia 31 Januari 2008 mpaka 2 Februari 2009.
Waziri wa 11 wa Mambo ya Nje, Novemba 1995 – 21 Disemba 2005.
Waziri wa 7 wa Fedha 1994 – 1995.
Mbunge wa Chalinze 1995-2005.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
  • ACT - TANZANIA vs ACT-WAZALENDO
    ACT-TANZANIA ACT-TANZANIA DHIDI YA ACT-WAZALENDO ACT-WAZALENDO Zitto alijiunga…
  • UN-TANZANIA WAS AN EXEMPLARY IN MAKING EDUCATION AVAILABLE FOR ALL
    On Sunday, The UN chief made the remarks when launching the International Commission on Financing Global…
  • MILITARY PLANE TO EVACUATE OBAMA IN CASE OF EMERGENCY
    President Obama will be on Sunday to give a lecture to Members of Parliament as well as women, youth and…
  • ACACIA TAX FEUD: EXECUTIVE CHAIRMAN MET WITH TANZANIA PRESIDENT
    Tanzania’s President met with Barrick Gold Corp. Executive Chairman John Thornton in an effort to…
  • KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA YAHAIRISHWA
    KURA YA MAONI YA KATIBA YAHAIRISHWA Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imesema kuwa kura ya maoni ya…
  • MAHAKAMA TANZANIA YAPOKEA MSAADA WENYE THAMANI YA DOLLA 95,000
    Mahakama kuu ya Tanzania imepokea msaada wa mashine 38 za kupiga chapa Kutoka Mahakama ya mauaji ya…
  • 10 REGIONS TO RECEIVE MAGUFULI'S 50 M/-
    The government of Tanzania to implement President John Magufuli’s promise to provide 50m/- to every village…
  • FREE COMPUTERS,TEXBOOKS,MATH SETS,PADS TO PUPILS - MUSEVENI
    ALEBTONG- Speaking at a campaign rally at Alira Primary School in Akura Sub–county, Alebtong…
  • Mafuriko Yaua watu zaidi ya 30 Tanzania.
    Mvua ya Mawe Watu wasiopungua 30 wamepoteza maisha na wengine wasiopungu 80 kujeruhiwa baada ya mvua…
  • SOMA MAGAZETI YA LEO HAPA
    MAGAZETI YA LEO Kama kawaida Habari Duniani inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila…

SOCIALIZE

twitterfacebookgoogle plusemail

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE