floyd mayweather
Floyd Mayweather
Bondia maarufu duniani kwa sasa Floyd Mayweather baada ya kumpiga Emmanuel "Manny" Pacquiao ameanza ziara mbalimbali.

MAYWEATHER ATUA DAR ES SALAAM

Wananchi wa Jangwani

MAYWEATHER AITEMBELEA CLUB YA YANGA



MAYWEATHER ALIPOTEMBELEA SINZA, DAR ES SALAAM

SINZA MVUA
SINZA
SINZA
Maji yaliyosimama maeneo ya Jangwani
Gari ilikutwa imezama
Dereva akutwa amezama na gari

UFAFANUZI:

Neno Mayweather limetokana na maongezi yafuatayo:

Mtoto: Baba mvua mbona haziishi
Baba: Ndo msimu wake huu.
Mtoto: Kwa hiyo Baba, kwa Kingereza hii hali ya hewa inaitwaje?
Baba: Inaitwa MAYWEATHER.

HABARI DUNIANI INAWAPA POLE WAATHIRIKA WOTE WA MVUA HIZI.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
  • IS YOUR FRIEND GOING THROUGH HARD TIME?
    All of us have been sometime in our lives in very difficult situations when we got the support and strength…
  • SOUTH SUDANESE PROMISES IGAD TO SIGN PEACE DEAL
    The South Sudanese government decided to sign the IGAD peace deal during a Mini-Summit in Juba. The office…
  • 10 REGIONS TO RECEIVE MAGUFULI'S 50 M/-
    The government of Tanzania to implement President John Magufuli’s promise to provide 50m/- to every village…
  • LIPUMBA AMTEMBELEA JOSEPHAT GWAJIMA
    Prof.Lipumba akiwa na Josephat Gwajima LIPUMBA AMTEMBELEA ASKOFU DR. JOSEPHAT GWAJIMA Profesa Ibrahim…
  • Relationship between Arsenal and Manchester City
    Arsenal and Manchester City have had numerous connections over the past 30 years, especially with a…
  • FREE EDUCATION IN TANZANIA
    Tanzania government has released a circular detailing how the new free education policy will be…
  • AJALI YA TRENI NA LORI
    AJALI …
  • 1 DECEMBER 2015 WORLD AIDS DAY EXHIBITION CANCELLED IN TANZANIA
    President of United Republic of Tanzania Dr. John Magufuli cancelled the climax of HIV and AIDS…
  • MAGAZETI YA LEO
    Kama kawaida Habari Duniani inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia…
  • UFAFANUZI KUHUSU BASTOLA NA RISASI ZA GWAJIMA
    BASTOLA NA RISASI ZA GWAJIMA Tarehe 30/03/2015 waandishi wa habari walifika kituo Kikuu cha Polisi…

SOCIALIZE

twitterfacebookgoogle plusemail

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE