shinyanga
Basi jingine lapata ajali
Habari zilizotufikia ni kuwa basi lenye namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora liligongana na lori katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye Shinyanga. 
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Shinyanga, RTO Chacha Marwa alibainisha kuwa, watu 10  wamepoteza maisha huku 51, wakijeruhiwa vibaya na kuendelea kukimbizwa hospitali.

ajali shinyanga

Basi lagongana na Lori na kuua

“Hadi sasa ni watu 10 wamepoteza maisha. Na tunaendelea kuokoa wengine ambao 51 ni majeruhi. hivyo bado tupo hapa kwa sasa na taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa”
Hadi sasa majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.



Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi Amen, na Mwenyezi Mungu awajaalie nafuu ya haraka majeruhi wote.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
  • FORMER KENYA JUDICIARY CHIEF REGISTRAR SKIPS COURT
    Kenya. Former Judiciary Chief Registrar,Gladys Shollei did not appear in court on Tuesday to take plea…
  • 10 REGIONS TO RECEIVE MAGUFULI'S 50 M/-
    The government of Tanzania to implement President John Magufuli’s promise to provide 50m/- to every village…
  • JESHI LA POLISI: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
    TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili wahitimu…
  • WHY MOBIUS SEEKS NEW MONEY FOR MASS VEHICLE PRODUCTION?
    MOBIUS VEHICLE MANUFACTURE IN KENYA An investor at Mobius says it will sell equity stakes to a number of…
  • 6+ confirmed dead in Grenfell Tower Fire
    London. At least six people have been confirmed killed in a huge fire that ripped through a west London…
  •  .WHO - ZIKA VIRUS IN AFRICA
    The World Health Organization confirmed the virus in Cape Verde is the same as the one behind an…
  • JAMES LEMBELI AONDOKA CCM
    James Lembeli James Lembeli, Mbunge wa Kahama aliyemaliza muda wake amekataa kubadili msimamo wake wa…
  • Why we need to have a business of our own?
    This article was inspired by Robert Kiyosaki the author of The Business of the 21st Century and the author…
  • TRAIN COLLIDES WITH TRUCK IN GERMANY
    The accident occurred in Feihung, a German town of about 2,500 people near the border with the Czech…
  • * CABINET RESHUFFLED IN KENYA
    On Tuesday President Uhuru Kenyatta has reshuffled his cabinet replacing Anne Waiguru in the Devolution…

SOCIALIZE

twitterfacebookgoogle plusemail

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE