Polisi nchini Tanzania wamesema wanawasaka watuhumiwa waliowajeruhi askari sita kwa risasi mkoani Tanga.

Askari hao walijeruhiwa wakati wakifanya kazi ya kuwatafuta watuhumiwa wa uhalifu wa kutumia silaha wanaodaiwa kuwa walijificha eneo moja nje ya mji wa Tanga wakiwa na silaha.

Awali kulizagaa taarifa na hofu kuwa wahusika walikuwa na itikadi za kigaidi, lakini taarifa ya maandishi iliyotolewa na polisi imewaita watu hao kuwa ni majambazi na kwamba msako wa kuwatafuta unaendelea.

Hata hivyo taarifa haikuleleza wanaotafutwa ni watu wangapi, ingawa imetaja kuhusika kwa jeshi lenye silaha jambo linaloashiria mapambano yalikuwa makali.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
  • 10 REGIONS TO RECEIVE MAGUFULI'S 50 M/-
    The government of Tanzania to implement President John Magufuli’s promise to provide 50m/- to every village…
  • 90 years old woman found in school studying.
    Akiwa na umri wa miaka 90 mwanamke wa Kenya ambaye anahudhuria masomo akiwa na wajukuu zake wapatao sita…
  • UKAWA WAANZA SAFARI YA URAISI 2015 TANZANIA
    Tangu mwaka huu uanze zimekuwapo pilikapilika nyingi za kisiasa ndani ya vyama vya siasa na Jumanne…
  • YOUNGEST BILLIONAIRE IN AFRICA COME FROM TANZANIA
    Mohammed Dewji TAJIRI KIJANA KULIKO WOTE AFRIKA Mohammed Dewji has seen his net worth rise…
  • PROF.IBRAHIM LIPUMBA AJIONDOA CUF NA UKAWA
    LIPUMBA AJIONDOA UKAWA Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekua mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF)…
  • KETER - NATIONAL ASSEMBLY SPEAKER BLOCKS WAIGURU IMPEACHMENT MOTION
    Nandi Hills MP Alfred Keter Alfred Keter Nandi Hills MP has now accused National Assembly Speaker Justin…
  • 3 PATIENTS IN HOSPITAL WITH ZIKA IN UK
    Three Brits have been diagnosed with the Zika virus after returning from overseas. The cases at Calderdale…
  • * CABINET RESHUFFLED IN KENYA
    On Tuesday President Uhuru Kenyatta has reshuffled his cabinet replacing Anne Waiguru in the Devolution…
  • RUTO CAMPAIGNING FOR MUSEVENI
    Uganda: William Ruto addressing media with Museveni today morning at Kapchorwa State Lodge, he claimed…
  • Relationship between Arsenal and Manchester City
    Arsenal and Manchester City have had numerous connections over the past 30 years, especially with a…

SOCIALIZE

twitterfacebookgoogle plusemail

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE