MAJINA YA WABUNGE WA VITI MAALUM
UGAWAJI
WA VITI MAALUM KWA KILA CHAMA CHA SIASA UNAZINGATIA IBARA YA 7891) YA KATIBA YA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 INAYOELEZA KUWA CHAMA CHA SIASA
KILICHOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU NA KUPATA ANGALAU ASILIMIA (5%) YA KURA ZOTE
HALALI ZA WABUNGE KITAPENDEKEZA MAJINA YA WANAWAKE KWA TUME ILI WAWEZE
KUTEULIWA KUWA WABUNGE WA VITI MAALUM KWA KUZINGATIA UWIANO WA KURA AMBAZO KILA
CHAMA KIMEPATA.
NAMNA YA KUPATA IDADI YA VITI MAALUM
UGAWAJI HUO NI KAMA IFUATAVYO:
IDADI
YA VITI MAALUM = IDADI YA KURA ZOTE HALALI AMBAZO CHAMA KIMEPATA
IDADI YA KURA ZOTE ZA VYAMA VILIVYOPATA ANGALAU 5% X 133
IDADI YA KURA ZOTE ZA VYAMA VILIVYOPATA ANGALAU 5% X 133