Meli ikiwa imebeba zaidi ya watu 450 imezama baada ya kukumbwa na upepo mkali katika Mto Yangtze kusini mwaChina.
Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali Xinhua watu wanane wameokolewa mpaka sasa na kazi inaendelea ya kuwaokoa abiria wengine.
Waziri Mkuu Li Keqiang anaelekea katika eneo la tukio.
Meli hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka mashariki mwa mji wa Nanjing kwenda Chongqing kusini magharibi ilipozama.
Meli hiyo, Dongfangzhixing - au Nyota ya Mashariki - ilikuwa imewabeba abiria wa Kichina 405, wafanyakazi watano wa shirika la usafiri na wafanyakazi 47 wa meli hiyo.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
  • * TANZANIA BANS THE USE OF PUBLIC FUNDS ON CHRISTMAS AND NEW YEAR CARDS
    The government of Tanzania yesterday banned printing and distributing festive season cards ahead of this…
  • Why, Your Supposed to do this Business? Celebrities and Ordinary people
    This is the business fit everyone either you are celebrity or ordinary person. Celebrities refers to…
  • SUMAYE AJIUNGA UKAWA BAADA YA KUHAMA CCM
    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tatu Mhe. Frederick Sumaye kujivua uanachana na kujiunga na…
  • Relationship between Arsenal and Manchester City
    Arsenal and Manchester City have had numerous connections over the past 30 years, especially with a…
  • BUTIKU: CHAMA CHANGU (CCM) MAGWIJI WA KUVUNJA TARATIBU (KATIBA)
    Joseph Butiku,Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku,Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu…
  • NAIROBI SENATOR HAS SUED NAIROBI GOVERNOR
    Mike Sonko, Nairobi senator has sued Dr Evans Kidero, Nairobi governor over a defamatory remark he…
  • 4 U MOVEMENT (TEAM LOWASSA) WAJIUNGA CHADEMA
    Vijana wanao aminika kua ni wafuasi wa Lowassa wahamia CHADEMA.
  • KCPE AND UACE EXAMS KICK OFF IN KENYA AND UGANDA
    Kenya. A total of 937,467 candidates are set to start the Kenya Certificate of Primary Education examination…
  • GLOBAL ENTREPRENEURSHIP SUMMIT IN NAIROBI, KENYA 2015
    WHAT IS GLOBAL ENTREPRENEURSHIP SUMMIT IN NAIROBI 2015? The Global Entrepreneurship Summit (GES) Youth…
  • ARUMERU: WANANCHI WAVAMIA SHAMBA LA MWEKEZAJI LA KARATU ESTATE
    WANANCHI WAVAMIA SHAMBA LA MWEKEZAJI Yafuatayo ni baaadhi ya mabango yaliyokutwa katika Karamu Estate…

SOCIALIZE

twitterfacebookgoogle plusemail

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE