Alexis Tsipras resigns

UGIRIKI
Waziri Mkuu wa Ukigiki (Alexis Tsipras) siku ya Alhamisi ametangaza kujiuzuru na kuitisha uchaguzi mwingine. Alexis Tsipras atakutana na raisi Prokopis Pavlopoulos, ili amkabidhi maamuzi yake ya kujiuzuru. Tarehe ya uchaguzi mwingine bado haijatangazwa.

Alexis Tsipras ajiuzuru

Alexis Tsipras ambaye aliingia madarakani January, amefanya maamuzi hayo baada ya bunge kupitisha maamuzi ya kiuchumi juu ya nchi ya Ugiriki, yakiwemo ya kuongeza kodi za mauzo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
  • JESHI LA MISRI LASHAMBULIA DOLA LA KIISLAMU LIBYA
    Jeshi la Misri limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya vituo vya Dola la Kiislamu nchini Libya, baada ya…
  • USINUNUE NYUMBA/KIWANJA BILA KUSOMA HIZI SHERIA
    Do not buy Land or House without  reading the following; Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro…
  • 6,000 VILLAGES WILL BE CONNECTED WITH ELECTRICITY IN TANZANIA
    6,000 villages will be connected with electricity through the Rural Energy Agency (REA) phase three, the…
  • MUHAMMAD ALI IS TEAM PACQUIAO
    Pacquiao and Muhammad Ali "My dad is Team Pacquiao all the way!" Everybody and their dog has…
  • ARSENAL FAN COMMITS SUICIDE AFTER DEFEAT
    For losing a betting stake worth U.shs 500,000 when Monaco overcame Arsenal football club 3-1 in a…
  • TANZANIA YAFUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA
    Baada ya kufungwa na Kenya, timu ya Tanzania imeibuka na kuifunga Nigeria kwa wiketi tatu katika mwendelezo…
  • MAGUFULI SACK TANZANIA ANTI-CORRUPTION BODY CHIEF DR.HOSEAH
    Tanzania President Dr. Magufuli sacks Director General of The Prevention and Combating of Corruption…
  • HAVE YOU READ TODAY UK FRONT PAGES NEWSPAPER? READ NOW
    HabaruDuniani brings to you UK front pages Newspaper at your finger tips. Please do not forget to like our…
  • RAISI KIKWETE AMETEUA WABUNGE WAWILI WAPYA
    ALI HASSAN MWINYI, JAKAYA KIKWETE, BENJAMINI MKAPA Raisi Jakaya Mrisho Kikwete:Ameteua wabunge wawili (2)…
  • MAHAKAMA TANZANIA YAPOKEA MSAADA WENYE THAMANI YA DOLLA 95,000
    Mahakama kuu ya Tanzania imepokea msaada wa mashine 38 za kupiga chapa Kutoka Mahakama ya mauaji ya…

SOCIALIZE

twitterfacebookgoogle plusemail

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE