TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili wahitimu walioorodheshwa wa shahada, stashahada na astashahada. Usaili utafanyika kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 04/09/2015 saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni katika maeneo yafuatayo:

• Fani ya Utawala, Uchumi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BALE], Ualimu, Uandishi wa Habari, Uhandisi Madini[Mining Engineering],ugavi, Lugha,Ushauri nasihi, katibu muktasi, land survey cathographer na geomatics katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam(DPA) kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.

• Mafundi Magari, matengenezo ya pikipiki, mafundi matengenezo ya umeme wa magari(Auto Elecrical), mafundi rangi za magari, mafundi magari, mafundi ushonaji wa body za magari, na madereva. Usaili wa kada hizi utafanyika Kikosi cha Polisi Ufundi kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.

• Matengenezo ya Kompyuta, Fax & Photocopy Machines na Mawasiliano ya Redio[Diploma in Radio Communication], usaili wao utafanyika nyuma ya kikosi cha Ufundi yaani TEHAMA KEKO chini.

• Wakemia, Bailojia[Molecular Biology] usaili utafanyika Makao Makuu ya Polisi yaliyopo makutano ya barabara ya Ohio na Ghana jengo linalotazamana na Posta House.

• Kada za afya usaili wao utafanyika katika kikosi cha afya kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.

• Manahodha na Mafundi Mitambo wa Meli, usaili wao utafanyika katika kikosi cha Wanamaji kilichopo karibu na jengo la Mahakama ya Rufaa.

• Daktari wa wanyama usaili wao utafanyika katika kikosi cha Mbwa na Farasi kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.

• Mafundi AC za majumbani, Architecture Draftman, Quantity Surveyors, Civil Engineer, welding&Fabrication, umemewamajumbani, Painting, Aluminium&GlassWork, Plumbing, Mosonry, Motor Rewinding, Hydro Geology Drilling Well, Refrigeration & Air Conditioning. Usaili wa kada hizi utafanyika Kikosi cha Polisi ujenzi ndani ya kambi ya polisi barracks kurasini kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.

• Fani za bendi, Brass Bendi, Woodwind, String Jazz na Percussive usaili wao utafanyika kikosi cha bendi kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.

• Fani ya urubani usaili utafanyika kikosi cha Anga kilichopo uwanja wa ndege ndogo wa zamani wa J. K. Nyerere DSM.

 Muhimu:

(i) Mwombaji afike kwenye usaili akiwa na nakala halisi ya vyeti vyote vya masomo/Taaluma [Academic Transcript (s)/Certificate(s)] yaani kidato cha nne, sita, Chuo na cheti cha kuzaliwa. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.

(ii) Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atalipia gharama za upimaji afya shilingi elfu kumi(10,000), usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili

(iii)Ambaye hatahudhuria usaili kuanzia siku ya kwanza hatapokelewa.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
  • TRAIN COLLIDES WITH TRUCK IN GERMANY
    The accident occurred in Feihung, a German town of about 2,500 people near the border with the Czech…
  • Xavi persuading signing of Santi Cazorla and Silva to Barcelona
    Xavi has hailed the talents of David Silva and Santi Cazorla, admitting he would love to…
  • Maandamano ya Kigoma yampa Ujumbe huu Dk.Slaa wa CHADEMA
    Ujumbe wa Dk.Slaa kutoka Kigoma …
  • 10 WORSE NATIONS TO GROW OLD
    The charity's Global AgeWatch Index measured the social and economic welfare of those over 60…
  • PLANE CARRYING 58 PASSENGERS CRASH
    A Taiwanese passenger aircraft with 58 people on board has crashed into a river outside Taiwan’s capital…
  • WALIOWAJERUHI POLISI TANZANIA TANGA WANASAKWA
    Polisi nchini Tanzania wamesema wanawasaka watuhumiwa waliowajeruhi askari sita kwa risasi mkoani…
  • Floyd Mayweather vs Manny Pacquiao
    Pambano la masumbwi linalosubiriwa na ulimwengu mzima kati ya mabondia wawili bora katika miaka ya hivi…
  • How Cellphone can damage your sexual organs, pregnant women and Children?
    Are you keeping your phone in your pocket? …
  • 10 FACTORS TO RAISE INSURANCE INDUSTRY IN TANZANIA
    How can Tanzania grow the sector and exploit the unique combination of factors Africa has in her…
  • 2ND MINERAL SANDS REPORT:LIST OF MANY TO BE INTERROGATED
    Dar es Salaaam. Speaking at the State House yesterday after receiving a report from an eight-member team led…

SOCIALIZE

twitterfacebookgoogle plusemail

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE